Skip to main content
Saumu ya Sunna ya AlhamisiMtume ﷺ amesema: "Matendo huwasilishwa (kwa Allah) Jumatatu na Alhamisi, na napenda matendo yangu yawasilishwe nikiwa nimefunga." — Tirmidhi.